Usifute

Trevo inavyopambana na Helicobacter pylori bakteria anayesababisha vidonda vya tumbo

1:50 AM By jimkazi.blogspot.com

                                         

                                                          VIDONDA VYA TUMBO
Ugonjwa wa vidonda vya tumbo hutokea iwapo kidonda cha ukubwa wa angalau wa nusu sentimita kitatokea kwenye sehemu yeyote ya ukuta wa tumbo au utumbo wa binadamu.
Kwa kawaida tatizo hili huleta maumivu makali sana ya tumbo ingawa si lazima kila maumivu ayapatayo mgonjwa husababishwa na vidonda vya tumbo.
                                                         

Makundi ya vidonda
Kuna makundi makuu yafuatayo ya ugonjwa huu

1. Vidonda vinavyotokea kwenye mfuko wa kuhifadhia chakula yaani tumbo (Gastric ulcers)
2. Vidonda vinavyotokea kwenye sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo (Duodenal Ulcers)
3. Vidonda vinavyotokea kwenye koo (Oesophageal ulcers)
4. Vidonda vijulikanavyo kama Merckel’s Diverticulum ulcers.
                                                      
Visababishi vya vidonda
Vidonda vya tumbo husababishwa na Maambukizi ya bakteria aina ya Helicobacter pylori:
Imeonekana kuwa zaidi ya asilimia 50 ya watu duniani wana vimelea hivi katika utumbo. Aidha, miongoni mwao, karibu asilimia 80 huwa hawaoneshi dalili yeyote ya kuugua ugonjwa wa vidonda vya tumbo.

Aina hii ya vimelea vya bacteria husababisha karibu asilimia 60 ya vidonda vinavyotokea kwenye tumbo (gastric ulcers) na zaidi ya asilimia 90 ya duodenal ulcers.

Hali hii husababishwa zaidi na kushindwa kwa mfumo wa kinga mwilini kuwaua na kuwaondoa kabisa vimelea hawa ndani ya mwili. Matokeo ya kushindwa huku husababisha kuwepo kwa uambukizi wa kudumu katika kuta za tumbo (chronic active gastritis), uambukizi ambao huharibu mfumo na uwezo wa kuta za tumbo kutunza homoni ya Gastrin, ambayo ni muhimu katika kuhakikisha mazingira ya tumbo yanakuwa na kiwango salama cha tindikali.

Kwa kawaida, kazi ya gastrin ni kuchochea utolewaji wa tindikali (gastric acid) kutoka kwenye seli za ukuta wa tumbo zijulikanazo kama Parietal cells. Iwapo bacteria hawa watashambulia na kuharibu ukuta wa tumbo, mfumo wa gastrin pia uharibika, na hivyo kusababisha gastrin kuzalishwa kwa wingi hali ambayo pia huchochea uzalishaji wa gastric acid kwa wingi. Matokeo ya kuzalishwa kwa wingi kwa tindikali hii hupelekea kuchubuka kwa ukuta wa tumbo na hivyo kusababisha vidonda vya tumbo.

Matumizi ya muda mrefu ya dawa za kuondoa maumivu za kundi la NSAIDs: Ukuta wa utumbo hujilinda na madhara yatokanayo na tindikali ya utumbo (gastric acid) kwa kuwa na utando laini (mucus) ambao hutolewa na vichocheo vijulikavyo kama Prostaglandins. Dawa hizi za kundi la NSAIDs huharibu mfumo wa kutengeza vichocheo hivi yaani prostaglandins na hivyo kufanya kuta za tumbo kukosa utando wa kuzilinda na mashambulizi ya tindikali
hali ambayo hupelekea kutokea kwa vidonda vya tumbo.

Uvutaji wa sigara: Uvutaji sigara sambamba na maambukizi ya bakteria aina ya Helicobacter pylori huongeza madhara ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo. Ifahamike tu kuwa uvutaji sigara pekee hausababishi vidonda vya tumbo.

Vyakula au viungo vya chakula vyenye uchachu: Kinyume na dhana iliyozoeleka miongoni mwa watu wengi, baadhi ya vyakula vyenye uchachu na upilipili kama vile pilipili, ndimu, limao na masala havina uhusiano na uwezekano wa kupata vidonda vya tumbo.

Watu walio katika kundi la damu la O: Imeonekana pia kwamba kundi la damu lijulikanalo kama blood group O, halina uhusiano wa kusababisha vidonda vya tumbo.

Unywaji wa pombe: Unywaji wa pombe pekee hausababishi vidonda vya tumbo. Hata hivyo, unywaji wa pombe sambamba na maambukizi ya vimelea vya Helicobacter pylori huongeza madhara ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo.

Vitu vingine: Vitu vinavyohusishwa na uongezaji wa madhara ya vidonda vya tumbo ni pamoja na upasuaji wa tumbo (major abdominal surgeries), kuungua kwa moto (burns), ugonjwa wa figo; na kubadilishwa kwa viungo vya mwili kama figo au ini.

UTENDAJI KAZI WA TREVO
Kinywaji cha Trevo ni micronized formular ( mfano ilivyo Glucose)  hivyo huenda na kufanya kazi zifuatazo mara moja kwa wenye matatizo ya vidonda vya tumbo

1. Hupambana na bakteria aina ya Helicobacter pylori
2. Hurejesha mfumo wa kinga ya mwili wa kuwaondoa na kuwaangamiza bacteria wabaya wakiwamo Helicobacter pylori wanaosababisha vidonda vya tumbo
3. Inakiwango cha juu kabisa cha kuondoa sumu mwilini hivyo huondoa sumu ya madawa yaliyopo kwenye kundi la NSAIDs
4. Hurejesha mfumo wa kutengeza vichocheo yaani prostaglandins na hivyo kufanya kuta za tumbo kurudi katika hali yake ya asili ya utando wa kuzilinda kuta za utumbo na mashambulizi ya tindikali

Baadhi ya virutubisho ambavyo vimo ndani ya Trevo kufanya kazi hii ni pamoja na Apples, vitunguu swaumu, Blueberries ambayo inakiwango cha hali ya juu kuondoa sumu mwilini, ndizi, Broccoli inayopambana na bacteria wabaya kwa kiwango cha asilimia 78 ndani ya siku saba,  Brussels Sprouts, Kale pamoja na kabichi na vingine vingi

        


                                                             







Jipatie chupa yako ya Trevo leo kwa kuwasiliana nasi

Life and Health Coach :musa kazimoto

Call         +255712916831
whatsapp +255766004946

            Trevo fire!!!!!!!
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥