Usifute

Trevo kirutubisho pekee duniani chenye mchanganyiko wa viambatanisho 174

3:02 AM By jimkazi.blogspot.com

Trévo ni mchanganyiko wa jumla ya virutubisho 174 ambavyo vinatokana na mimea, mboga mboga na matunda yaliyokusanywa toka sehemu mbalimbali duniani. 
Mchanganyiko huo uliozaa kirutubisho cha Trévo umetengenezwa nchini Marekani na Billionaire aitwaye Mark Stevens na Mkewe Holli.
 Ukweli ni kuwa Trévo ni zao la kazi ya utafiti wa zaidi ya miaka 4 na pia utafiti wa zaidi ya miaka 2 wa matumizi yake na kukifanya kuwa kimiminika cha virutubisho bora vilivyokusanywa toka mabara yote ya dunia hii. Trévo imejitanabaisha kuwa kirutubisho pekee duniani chenye mchanganyiko wa virutubisho vingi vya vitamins, madini muhimu ya mwili, matunda ya kutoa sumu mwilini (antioxidants), madini mbalimbali na mimea yenye uwezo wa kutibu magonjwa (herbs).
 Baadhi ya mimea, mbogamboga na matunda maarufu iliyomo katika  Trévo ni mangosteen, matunda ya amalaki, gotu kola, ashwagandha, aloe vera, mimea yenye ukijani mbichi wa hali ya juu (supergreens), matunda yenye uwezo mkubwa wa kutoa sumu (antioxidant-packed fruits and vegetables), madini mbalimbali na mimea yenye uwezo wa kutibu magonjwa (herbs), n.k.

Trévo ina nguvu tatu inazofanya katika cell ya mwanadamu:kurejesha uwezo (Restore), kujenga upya upya (Renew)na  kuhuisha(Revive).
 1. KUREJESHA UWEZO
Kurudisha nguvu yako na umakini wa akili kwa kuusisimua mwili wako na viini lishe vingi vyenye nguvu ikijumuishwa na mimea,matunda,vitamini,madini,amino acidi na vinginevyo

2. KUJENGA UPYA
Kujenga upya mfumo wa mwili wako na ufanyaji kazi wa asili kwa viambato vya kipekee vilivyohifadhiwa visiigwe,mchanganyiko wa viinilishe vya maisha,mboga za majani,matunda,chani kibichi cha bahari,mafuta na vyakula vya chani kibichi

3. KUHUISHA
Trevo inausaidia mwili wako kutokuzeeka mapema na kusaidia mfumo wa kinga za mwili wako kufanya kazi vema ,kupambana dhidi ya sumu mwilini,kwa viungo na calcium complex

Sifa nyingine kubwa ya Trévo ni kuwa imetengenezwa kwa vichembe chembe vidogo sana (micro ionized) vinavyoiwezesha Trévo kufyonzwa kwa urahisi na cell na kuanza kutumika hapo hapo mtu anapoinywa. Hii ina maana kwamba mtu anapokunywa Trévo inaanza kufyonzwa ndani ya cell sekunde kadhaa inapoingia mdomoni na inaingia tumboni huku ikiendelea kufyonzwa.

Trévo ina Amino Acids zinazohitajika katika mwili. Amino Acid ni muhimu kwa maisha, na huwa na majukumu mengi katika umetaboli (metabolism). Kazi moja muhimu hasa ni kutumika kama miundo msingi ya ujenzi wa protein. Sehemu kubwa ya cells za binadamu, misuli na tissue imejengwa na amino acids ambazo pia ndio zinazounda sehemu kubwa ya proteins.

Trévo ina mchanganyiko unaoifanya kuwa anti oxidant yenye nguvu sana. Seli za mwili huhitaji hewa ya oxygen ili ziweze kufanya kazi. Hewa ya oxygen hutumika kuunguza vyakula tunavyokula ili kuupatia mwili nguvu. Ili hewa ya oxygen isilete madhara mwilini ni lazima itumike yote kwa ufanisi kwani ikibaki mwilini inaweza sababisha kutengenezwa kwa free radicals zinazoweza kupelekea mtu kupata saratani (cancer), cell kufa (necrosis), watoto kuzaliwa na matatizo yasiyo ya kawaida (mutation), n.k.
Mchanganyiko ulioko ndani ya Trévo unaipa nguvu kubwa sana ya kutoa sumu mwilini kwa kuwa imekuwa na antioxidant kubwa kupambana na maradhi mbalimbali ndani ya mwili wa mwanadamu. Ikumbukwe pia miili yetu inapata magonjwa mbalimbali tena kwa urahisi kukiwa na ukosefu wa virutubisho.Kutoa sumu mwilini kwa hali ya juu sana kwa kiwango cha ORAC (Oxygen Radical Absorbance Capacity) cha 373,000 antioxidant. Pia Trévo imegundulika kuwa na uwezo mkubwa sana wa kutoa sumu katika mwili kwa kutumia kipimo cha CAP-e (Cell-based Antioxidant Protection in Erythrocytes – njia ya kisasa ya kubaini uwezo wa kutoa sumu katika cell za mwili wa viini lishe vya asili).



Pia Trévo imethibitishwa na mashirika makubwa ya afya duniani.

1. KOSHER. ni shirika la Waisraeli  ambalo hutoa certificate na nembo ktk vyakula ambavyo ni sahihi kutumiwa na  mtu mwenye imani ya Kikristo au Myahudi. Hii inamaana kirutubisho hiki kinafaa kuliwa   na watu wa imani hizo kwa kuwa hakina mchanganyiko unao pingana na imani hii


2. ORAC- ni maabara kubwa inayotumika kupima uwezo wa utoaji sumu mwilini katika vyakula. Maabara hii iliipatia Trévo kiasi kikubwa sana cha antioxidant cha 373,000. Ni kiasi cha juu sana kulinganisha na virutubisho vingine vilivyopo au vilivyowahi kuwepo sokoni


3. HALAL ni shirika la Kiarabu kwa wale wenye imani za Kiislamu. Walithibitisha kuwa Trévo ni salama kwa mtumiaji mwenye imani hiyo na haina mchanganyiko wa kwenda kinyume na imani hiyo


4. VEGETARIAN . Ni shirika la watu wasio kula mazao ya mnyama bali wana kula mboga mboga, mimea, matunda na mizizi


5.TFDA- Shirika la Chakula na Dawa Tanzania. Shirika hili liliithibitisha Trévo kuwa ni sahihi kwa matumizi ya Mtanzania na hivyo wakaipa Certificate mnamo tarehe 11/11/2014
Get your bottle of trevo now
CONTACT US
Whatsapp +255766-004946
call            +255712-916831

- See more at: http://www.jimkazi.info/2015/04/food-that-support-skin-health.html#sthash.GxdXb8FR.dpuf
Get your bottle of trevo now
CONTACT US
Whatsapp +255766-004946
call            +255712-916831

- See more at: http://www.jimkazi.info/2015/04/food-that-support-skin-health.html#sthash.GxdXb8FR.dpuf


Get your bottle of trevo now
CONTACT US
Whatsapp +255766-004946
call            +255712-916831




- See more at: http://www.jimkazi.info/2015/04/food-that-support-skin-health.html#sthash.GxdXb8FR.dpuf

Get your bottle of trevo now
CONTACT US
Whatsapp +255766-004946
call            +255712-916831

- See more at: http://www.jimkazi.info/2015/04/food-that-support-skin-health.html#sthash.GxdXb8FR.dpuf
Get your bottle of trevo now
CONTACT US
Whatsapp +255766-004946
call            +255712-916831

- See more at: http://www.jimkazi.info/2015/04/food-that-support-skin-health.html#sthash.GxdXb8FR.dpuf



Get your bottle of trevo now
CONTACT US
Whatsapp +255766-004946
call            +255712-916831

- See more at: http://www.jimkazi.info/2015/04/food-that-support-skin-health.html#sthash.GxdXb8FR.dpuf