Usifute

Jiwekee utaratibu wa kuondoa sumu mwilini mara nyingi uwezavyo

4:43 AM By jimkazi.blogspot.com

                                        
Uondoaji wa sumu mwilini ni nini? ni uondoaji wa sumu mwilini ni mchakato wa kuondoa sumu kutoka mwilini kwa njia mbalimbali.
Kuna aina mbili za sumu ambazo hurundikana mwilini katika kipindi fulani. 

Kuna sumu zitokanazo na uchafuzi wa mazingira (Environmental Toxins). Sumu hizo unaweza kuzipata kwa kuvuta hewa chafu, kunywa maji au chakula kichafu (chenye sumu).

                                         
Unaweza kunywa maji, kula chakula au kuvuta hewa yenye sumu bila wewe kujijua. Hii inatokana na ukweli kwamba baadhi ya dawa zinazotumika kuulia wadudu (pesticides) kwenye mboga tunazokula zina kemikali za sumu au baadhi ya dawa zinotumika kusafishia maji zina kemikali za sumu. Vilevile ulaji holela wa dawa za kutibu maradhi unaweza kusababisha sumu mwilini.
                                      

Aina ya pili ya sumu ni ile inayojitengeneza yenyewe mwilini kutokana na mfumo wa usagaji chakula (Metabolic Toxins). Wataalamu wanatueleza kuwa chembechembe hai za mwili hujikuta zikitengeneza sumu katika mchakato wake wa kawaida wa usagaji chakula.
                                        
SUMU HUTOKAJE MWILINI
Sasa umefahamu kuwa hauko salama na sumu. Kila wakati, kwa njia moja au nyingine, unaingiza sumu mwilini. Lakini habari njema ni kwamba mwili umepewa uwezo wa kutoa sumu hizo na kujisafisha wenyewe (automatically).
                                      
Kwa kawaida, sumu zote hukusanywa na kutolewa mwilini kwa njia ya mkojo, haja kubwa, jasho, makamasi na hata unapokohoa au kupiga chafya huwa ni njia moja wapo ya mwili kujisafisha.

NJIA NYINGINE YA KUTOA SUMU ZAIDI
Ili kuusaidia mwili kuondoa sumu zote mwilini na kujisafisha, mambo makuu manne hayana budi kuzingatiwa na kuwa sehemu ya staili ya maisha yako.

1. Hakikisha unaishi katika mazingira yenye hewa safi ili kujiepusha na uvutaji wa hewa chafu.

2. Hakikisha unapata muda wa kupumzisha mwili na akili kadri iwezeakanavyo.

3. Hakikisha mwili haukaukiwi maji kwa kunywa maji ya kutosha kila siku na matunda yenye maji maji.

4. Jiepushe kuishi katika mazingira yenye hewa chafu ili kuuepusha mwili wako kudhurika kwa sumu, ndani na nje ya mwili


ONDOA SUMU MARA NYINGI UWEZAVYO KWA MWAKA
Mchanganyiko ulioko ndani ya Trévo unaipa nguvu kubwa sana ya kutoa sumu mwilini kwa kuwa imekuwa na antioxidant kubwa kupambana na maradhi mbalimbali ndani ya mwili wa mwanadamu. Ikumbukwe pia miili yetu inapata magonjwa mbalimbali tena kwa urahisi kukiwa na ukosefu wa virutubisho.Kutoa sumu mwilini kwa hali ya juu sana kwa kiwango cha ORAC (Oxygen Radical Absorbance Capacity) cha 373,000 antioxidant. Pia Trévo imegundulika kuwa na uwezo mkubwa sana wa kutoa sumu katika mwili kwa kutumia kipimo cha CAP-e (Cell-based Antioxidant Protection in Erythrocytes – njia ya kisasa ya kubaini uwezo wa kutoa sumu katika cell za mwili wa viini lishe vya asili). - See more at: http://www.jimkazi.info/2015/06/kirutubisho-pekee-duniani-chenye.html#sthash.Si2gMuLI.dpuf
Jiwekee utaratibu wa kuondoa sumu mwilini mara nyingi uwezavyo katika mazingira yaliyo kuzunguka.

Miongoni mwa matunda na mboga zinazoshauriwa kuliwa ni pamoja na maparachichi, nyanya, vitunguu, matango, karoti, kabichi, tufaha, matikitimaji, ndizi, mapapai, zabibu, nazi na machungwa.

Fanya zoezi la kusafisha mwili kwa kula ‘dayati’ iliyotajwa hapo juu, japo mara moja kwa mwaka, ili uuweke mwili wako safi na hivyo ujiepushe na maradhi hatari kama vile saratani na magonjwa ya moyo.

Japo kuwa kinywaji cha trevo kimekupa unafaa zaidi na kwa kiwango kikubwa duniani katika mfumo wautoaji sumu mwilini hutakiwi kuangainga tena jipatie chupa zako za trevo kwa matokeo zaidi.

Mchanganyiko ulioko ndani ya Trévo unaipa nguvu kubwa sana ya kutoa sumu mwilini kwa kuwa imekuwa na antioxidant kubwa kupambana na maradhi mbalimbali ndani ya mwili wa mwanadamu. Ikumbukwe pia miili yetu inapata magonjwa mbalimbali tena kwa urahisi kukiwa na ukosefu wa virutubisho.Kutoa sumu mwilini kwa hali ya juu sana kwa kiwango cha ORAC (Oxygen Radical Absorbance Capacity) cha 373,000 antioxidant. Pia Trévo imegundulika kuwa na uwezo mkubwa sana wa kutoa sumu katika mwili kwa kutumia kipimo cha CAP-e (Cell-based Antioxidant Protection in Erythrocytes – njia ya kisasa ya kubaini uwezo wa kutoa sumu katika cell za mwili wa viini lishe vya asili). - See more at: http://www.jimkazi.info/2015/06/kirutubisho-pekee-duniani-chenye.html#sthash.Si2gMuLI.dpuf
Mchanganyiko ulioko ndani ya Trévo unaipa nguvu kubwa sana ya kutoa sumu mwilini kwa kuwa imekuwa na antioxidant kubwa kupambana na maradhi mbalimbali ndani ya mwili wa mwanadamu. Ikumbukwe pia miili yetu inapata magonjwa mbalimbali tena kwa urahisi kukiwa na ukosefu wa virutubisho.Kutoa sumu mwilini kwa hali ya juu sana kwa kiwango cha ORAC (Oxygen Radical Absorbance Capacity) cha 373,000 antioxidant. Pia Trévo imegundulika kuwa na uwezo mkubwa sana wa kutoa sumu katika mwili kwa kutumia kipimo cha CAP-e (Cell-based Antioxidant Protection in Erythrocytes – njia ya kisasa ya kubaini uwezo wa kutoa sumu katika cell za mwili wa viini lishe vya asili).


JIPATIE CHUPA ZAKO ZA TREVO SASA

Get your bottle of trevo now
CONTACT US
Whatsapp +255766-004946
call            +255712-916831

- See more at: http://www.jimkazi.info/2015/04/a-stomach-ulcer.html#sthash.qzwajyVg.dpuf