Tanzania itachuana na Uganda wakati Kenya itakipiga na Ethiopia katika michuano ya kufuzu ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) kufuatia ratiba ya michuano hiyo iliyotolewa na Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika, (CAF),
Sasa ni wazi kuwa wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya vilabu ya kombe la Shirikisho barani Afrika, Yanga watacheza na Etoile du Sahel ya Tunisia katika raundi ya pili ya michuano hiyo.